Only for only forsearious girl in England,moyo mpweke

talib

Member
Mar 29, 2010
36
5
Habari wana jamvini,mimi ni kijana mwenye umri 27,mrefu 5.9feet umbo la wastani,natafuta msichana alie searious na ambaye yukp tayari kuanza maisha,awe anaishi hapa england,scotland au wales na ambae yuko tayari kufahamiana na kujuana zaidi,mimi ni professional na muda mwingi nautumia kwenye mihangaiko yangu,even tho i will hv time for that special one,just for peace of mind i have my paper(karatasi)Na akiwa mtanzani itakuwa bonus tho not essential,plz i like positive comments only as this isnt a joke place,thanx.
 
Makaratasi hayana mpango rudi kwenu ukaoe.usijidanganye na madem wa mitandao.utakufwa uache makaratasi yako.ushauri toka idodomya.
 
For ur information kila siku niko nyumbani,and its just personal prefference when i require a lady from this part of the world,kuhusu karatasi i didnt want to justify myself,its just for peace of mind sababu watu wengine wanadhani u only want someone because of it which i disagree,alo my whole life is here now tho home still play a big part,hope does make sense.
 
Kwa kiinglish hiki itakua unapatika kama si tandale basi pale kwamtogole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom