Only a genius can attempt this

kwa uelewa wangu hizi sentensi


zinataka utaje jina la meli

Ukiisoma sentensi hiyo peke yake ulivosema ni sahihi. Maswali ya "genius" yabidi kusoma maelekezo yote (instructions).

Sentensi ya "What is the name of the ship" inaondoa uhalali wa hiyo sentensi yako ya "guess ..." kuwa swali.
 
Grammatically say: what is the ship's name?


Kasome post ya chini ya hiyo uliyoijibu.

Halafu hilo lako ni swali siyo jibu.

You never use "say" to ask a question, your question should've been:

Answer grammatically; What is the ship's name?
 
Ma-genious tupo pembeni tunawachora tu
 
The last sentence "What is the name of the ship" is not a question but a statement, it has no question mark.

Remember kid, I am one of the unique few in this world.
I'm one of the unique few in this world
 
Kasome sentensi ya mwisho urudi kusema inasema nini.
Nimekwisha kujibu kwamba sentensi ya mwisho inaondolewa uhalali wa swali na sentensi uliyojibu kuwa jina ni 'What'.

Huo ndio mtihani wa maswali ya IQ, yabidi usome "instructions" kwa umakini. Hivyo hakuna swali na hivyo hakuna jibu. Ni sawa na mtu unamwona halafu unamwuliza kama yeye ni mwanaume au mwanamke!
 

You are totally wrong.

Swali si lazima liwe na alama ya kuuliza.

Swali limeshajibiwa hizo zingine ni porojo tu.
 
You are totally wrong.

Swali si lazima liwe na alama ya kuuliza.

Swali limeshajibiwa hizo zingine ni porojo tu.
Swali sio lazima liwe na alama ya kuuliza????? Hii mpya
Nini matumizi ya alama sasa?
 
Nimekwelewa vizur sana hiyo sio figurative language useme mpaka urudie maranyingi. Shida ujuaji plus sifa times ushamba vinakwandama. So I took it personal wareva case it might be

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Ahsante!
Lakini umekosea tena "So I took it personal'

Kosa lako lipo hapa:
1. Neno "personal" ni adjective (kivumishi). Kazi ya kivumishi ni kuvumisha jina (noun).

Katika mjengo wa sentensi (sentence structure) yako, neno "personal" halijakaa sehemu sahihi kama adjective; bali limekaa sehemu ya adverb hivyo kusababisha mjengo mbovu wa sentense (poor sentence structure / broken sentence). Ilipaswa neno hilo kuwa "personally" ili lipate sifa ya kuwa hapo.

SAHIHI: "So, I took it personally"

Anaependa kujua huwa achoki. Naomba uendelee kunifuatulia vizuri utafahamu.
 
Soma mstari wote huo wacha kiherehere.

Huwezi kuandika "a simply", grammatically haiji.
Teh teh teh teh teh teh..... Nimefurahi kuriona neno "Kiherehere" limenikumbusha enzi zile za movie za kihindi, mara nyingi kulikuwa na mpambe wa boss (kubwa la maadui) ambaye kwatu sisi (mimi na watoto wenzangu) mtu huyu tulikuwa tunamwita KIHEREHERE. Sina hakika kama na wengine walikuwa wanamwita hivyo.

Nikirudi kwenye mada, mpangilio wa maneno (words order) katika sentensi haufatwi kwa sababu ya kusoma sentensi za nyumba, bali wazo (concept) ya sentensi ya mbele itategemea wazo la sentensi ya nyuma.

Pia, ulitumia alama "coma" ukiashilia kuwa kufungu hicho cha maneno ni sentensi kamili. Hivyo kilipaswa kujungwa kwa ukamilifu bila kujali sentesi za nyuma sababu kichoangaliwa hapa kama kosa ni mpangilo wa maneno na sio wazo (concept).
 

= kuliona
= ukiashiria

Hizo zote porojo.

Ukweli ni kuwa huwezi kabisa kuandika "a simply..." kama wewe ulivyo tunga sentensi yako.

Kumbuka hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…