Busara ni kukosoa bila kuonyesha dharau za fursa ya mtu...!! Kusoma ward school siyo dhambi na pia kuna sababu nyingi...!! Kubeza siyo haki, ni unyanyapaa usio na tija. Lakini pia mara nyingi wenye uwezo mdogo wa kujenga na kutetea hoja hutumia udhaifu/upungufu wa mpinzani wake ili kumdhoofisha. JIBU HOJA KWA HOJA...!!