concept ni simple hakikisha event yako inafika kwenye pc halafu video zinaenda kwenye server then waangaliaji wanaona kupitia server.
mfano una camera unganisha na laptop yako then video inayoingia inaenda youtube live then watumjiaji wataingia youtube kuona live. nenda hapa kujua zaidi
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ada-nataka-kuanzisha-internet-tv-station.html
Ni lazima kupitia youtube?
na kama nataka ku wacharge watu kwa contents wanalipaje?
si lazima youtube ila kuhost video ni bei ghali sana thats why nimekupa option ya bure kutest.
unawacharge vipi? kama ni hizi payment zetu za mobile pesa nafkiri ni vizuri ukaajiri developer.
si lazima youtube ila kuhost video ni bei ghali sana thats why nimekupa option ya bure kutest.
unawacharge vipi? kama ni hizi payment zetu za mobile pesa nafkiri ni vizuri ukaajiri developer.
Yaani maswali yako tu ndiyo yananikosha, ukijibiwa hili linazuka lingine, inabidi umpate Technicians uwe naye live streaming // i mean face by face.
Faida za maswali haya ni wengi pia wajue....ningweza kumuuliza pm....but kwa faida ya wengi namuuliza hapa
Sawa lkn kwa ujumla page yako itakuwa yako mwenyewe kwa maswali na majibu ya mtu mmoja, hvo kuna majibu mengine umejijibu mwenyewe ila hukujua kama umejijibu.
Masuala haya Teknoloji yana change daily
sasa wengine ambao ni totally ignorant inabidi tu tuulize ulize hadi turidhike na majibu
Ukisema very expensive unazungumzia kiasi gani?
mfano event ya siku moja tu iwe live kwa masaa labda sita?
na live apps nikitaka iwekwe playsore unafanyaje?