walimu wa kiswahili changamkieni fursa hii ili muweze kutengeneza serious cash online unachotakiwa ni kuandaa materials kuyaupload kwenye web then utashangaa wanafunzi wanavyomiminika wenyewe...kumbuka kuna uhitaj mkubwa wa lugha ya kiswahili kwa raia wa kigeni yaani wazungu, wachina, wajapani,hata waafrika wenzetu.....