Nadhani haujanielewa......nimemaanisha kuna vitu muhimu sana vimetuleta duniani hapa zaidi ya pesa.....kama familia......so hawa tunaojenga nao familia wakiwa vichwa panzi lazima tuhoji!Kwa hyo samcezar we umekuja duniani kuchungulia status za wanawake kwenye whatsapp
Kwakweli auntie, eti tupangiane hadi kwenye mambo haya!!Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo ilimradi tuu havunji sheria!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hyo samcezar we umekuja duniani kuchungulia status za wanawake kwenye whatsapp
Shangaa na wewe auntie!Kwakweli auntie, eti tupangiane hadi kwenye mambo haya!!
Acha tu asee, nyodo mniMkuu,achana nao,tafuta pesa kwanza,,,yaani hawa viumbe bana,,mara umtext asifungue text,,na yuko onl,,,
Mkuu tafuta tu pesa kwanza,ukimsumbua sana ata ku block
Hakika umenena vyema,kuna wengine kuna password ya ku-unlock simu,password ya kwenye sms za kawaida,password ya kwenye contact,password ya kwenye gallery,password ya kupokelea simu(yani huwezi kupokea simu yoyote inayopigwa bila kuweka password)halafu hizi password zote ni aina tofauti,Yani najiulizaga sana ni kitu gani mtu anaficha hivyo aiseee nakosaga jawabu naishia kucheka tuNikiona mtu wa aina hii naishia kucheka tu na sitamuamini hata siku moja hata kama yupo karibu nami kiasi gani. Unakuta sms za kawaida kuna password, whatsapp password, bado password ya jumla. Huyu siyo binadamu wa kuamini na haminiki, jaribu kuwafuatilia kwa makini utagundua kitu
Umefafanua vizuri sanaKwani nini tatizo.....si uamuzi wake tu!!
Kama ww huoni yake basi jua na yeye haoni yako....she doesn't care about you....why sholud you!!!?
beat it boy...
Mkuu sio wanawake tu mim kuna mwanaume nawasiliana nae kimya kimya kama kipofu akiwa online hujui offline hujui na msg hazieki 2 ticks wala blue tick,,hapo unaweza onaHabari zenu wajumbe!
Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi. Na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.
Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.
Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.
Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online....
Hii ina maana gani?!
Kwann unaficha status yako?!
Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?!
Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea....?!
Hata wanaume hii tabia wanayo ila nimeiona kwa matozi hawa marioo hawa ndio wanahiyo shida ila mwanaume anayejitambua kama mimi anaanzaje kuweka hayo makitu......?!Mkuu sio wanawake tu mim kuna mwanaume nawasiliana nae kimya kimya kama kipofu akiwa online hujui offline hujui na msg hazieki 2 ticks wala blue tick,,hapo unaweza ona
Kakublock huyo wewe.. Shutka..Mkuu sio wanawake tu mim kuna mwanaume nawasiliana nae kimya kimya kama kipofu akiwa online hujui offline hujui na msg hazieki 2 ticks wala blue tick,,hapo unaweza ona
Umeniwahi aisee.Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo ilimradi tuu havunji sheria!!