Online shopping

katel

New Member
Apr 20, 2020
2
0
Habri zenu jamani.

Naomba mnisaidie kwenye hili swala la kuagiza bidhaa online upande wa aliexpress katika shipping adress kuna vitu kama postal codes/zip code ,etc, halafu utafanyaje shopping ikiwa huna po box ,

Please naomba mnisaidie

Screenshot_2020-05-05-11-33-05.jpg
 
Kama hauna po box acha wazi wao watatuma kwa agent wao bongo wewe utatumiwa msg
 
Back
Top Bottom