hapa napo pagumu, ukipenda kweli huwezi enda taratibu^^
Naunga mkono, kwa baadhi ya watu, uongo ni maisha.
Hata kama umempenda hakikisha hakuachiii jeraha la moyo kwa haraka zako.
Take it slow
^^
umeona eeh! na ndio hicho nilichokuwa namwambia Heaven on Earth na sokweUkimfanyia yapasayo kufanyiwa hawezi kuchoropoka
Ulishawahi kuona mtu kashiba halafu ana ham ya kula?
Halafu nani kakuambia naporeka........??lolzzzzzzz!!!!!!!!!!
Atakuwa amekuelewaumeona eeh! na ndio hicho nilichokuwa namwambia Heaven on Earth na sokwe
Na umeniweza ....lol!!!heheheh!! wewe huporeki, sijui ushatiwa kiganjani.
^^
Kuna mambo makuu mawili uliyafanya yanayokubaliana na mada yangu.
Kwanza, uliomba Mungu
Pili, ulianza kwa kusita/kukataa mwisho ulipojiridhisha ukakubali.
HIVYO NDIVYO INATAKIWA,
Wengi wanapoingia ktk mitandao hawatazami undani wa wao wanataka nini bali huishia sifa za nje tu, ziki match tu anakuambia huyu ndiye! Na mtego huo umeliza wengi.
Wewe, uliwasiliana na mawazo yako ya kina ndipo ukafikia hitimisho kuwa ndiye,, hii ndiyo naiita 'Don't run faster than your legs'.. Usikimbie upesi kuliko uwezo wa miguu yako.
Tulia... Tafakari... Jiridhishe mwisho kubali kuyabeba mengineyo kwa hiari sio uishi kwa majonzi ya moyo eti tu ulikurupuka.
Mungu akupe nguvu ktk ndoa yako Dillish wa kwetu .
apasome neno1

Eiyer, i beg to differ kidogo, mtandaoni, bar, harusini, kanisani, msikitini, club yote ni mazingira unayoweza kutana na life partner lakini mazingira hayo yamewabeba watu wenye character tofauti kabisa. Kwahiyo ni vigumu au pengine ni nadra sana mtu mwenye tabia fulani kumkuta kwenye mazingira flaniUsisahau kuwa huko sokoni,harusini au makazini ni sawa na hapa mtandaoni
Kuna mambo hayakwepeki kabisa kwenye muingiliano wajamii kama huu
Nakumbuka hata wakati wa simu za mikononi kuingia kulikuwa na vitisho kama hivi
Suala la mahusiano linaweza kuanza popote pale,cha msingi ni umakini wa wahusika
Kama ni tapeli unaweza kukutana nae hata kanisani au msikitini
Kuna memba mmoja hapa aliwahi kuniambia kuwa jamaa yake alikuwa ni tapeli na hawakukutana mtandaoni
Suala hapa sio mahali kwani unaweza kukutana na nyoka hata sebuleni kwako
Suala hapa ni kuwa makini na hii kitu kama unatafuta mwenza
Mtu makini anaweza kupatikana popote and so mtu wa hovyo pia!
Eiyer, i beg to differ kidogo, mtandaoni, bar, harusini, kanisani, msikitini, club yote ni mazingira unayoweza kutana na life partner lakini mazingira hayo yamewabeba watu wenye character tofauti kabisa. Kwahiyo ni vigumu au pengine ni nadra sana mtu mwenye tabia fulani kumkuta kwenye mazingira flani
Na sikatai matapeli wapo kila sehem lakini nadhani kuna mazingira ambayo chance are high than others