Online petition ya kuyashitaki makampuni manne ya simu Tanzania

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,634
2,000
Nadhani mnakumbuka kuwa wakili Bashir Yakub ameanzisha harakati ya kutaka kuyashitaki makampuni makubwa manne ya simu Tanzania juu ya hoja mbalimbali tano.

Ifuatayo ni link ya kusaini online petition kwa ajili ya kukusanya saini za wanaounga mkono movement hii. Hii petition imeanzishwa na wakili Bashir Yakub mwenyewe, wengine tunasaidia tu kuisambaza.

Wakili Bashir Yakub anayashitaki makampuni manne ya simu. Kusoma maelezo ya petition na kuweka sahihi yako, tumia link ifuatayo:

Signez la pétition

Sambaza ujumbe huu kwenda groups zako zote na mitandao ya kijamii.

Pili, kuna group la WhatsApp limeanzishwa pia na wakili Bashiri Yakubu mwenyewe kwa ajili ya kupeana updates kwa wale wanao support hii movement. Link ya kujiunga hilo group ni hii hapa chini....

GROUP - 2
"TUSHITAKI KAMPUNI ZA SIMU KWA UNYONYAJI,DHULUMA NA USUMBUFU,TUMECHOKA KULALAMIKA: Tushtaki Kampuni za Simu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom