C Cas9 Member Mar 18, 2014 65 17 Mar 3, 2017 #1 Habari za ijumaa wakuu. Naombeni mnisaidie kujua kama Tanzania kuna online mobile payment gateways, kama ilivo kenya wana Pesapal, jambopay, and ipay (i think). Shukrani sana.
Habari za ijumaa wakuu. Naombeni mnisaidie kujua kama Tanzania kuna online mobile payment gateways, kama ilivo kenya wana Pesapal, jambopay, and ipay (i think). Shukrani sana.