online money

online money

MWITA100

Senior Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
165
Reaction score
55
Mambo vp bandugu kwa wale wanaopenda kutumia mb kupata hela online follow link hii kisha nenda sehemu ya registration then jisajili na uanze kucheza na kufata maelekezo ni rahisi unatumia mb tu na mda wako kuwa online http://vacoredrlyxi.loan/7423452219916/
 
chek hili nalo sijui limetoka wap
online money unaijua ww?
 
hawa majamaa wamepotezea muda sana watu wengi mno..tena hawa matapeli jina la kampuni linabadilika kutoka jina moja hadi jingine lakini kazi ni zile zile...yaani inapofikia wakati wa kutoa hela hamna kitu kinachotoka mara unaambia unatufute refarii kifupi ni full majanga
 
Acha kuwadanganya watu
Mods kwa nini Hii bado ipo hewani?
Hakuna kitu kinaitwa online money ni utapeli uliotukuka tena wa kizamaniiiiii
 
Back
Top Bottom