Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
Wazo lako FUSO liko kitechnology zaidi na mie nimelizimikia yaani liko poa sana...sasa kama mitandao mingi inaishobokea magamba hapo am afraid kidogo watachakachua tu hawa magamba....mitandao yetu yote haina uthubutu mkuu....