Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
Wazo hili ni zuri sana. Lilishajadiliwa nakumbuka kwenye vikao vya baraza kuu. Tatizo lake ni kwamba, CCM walihujuma the whole Plan. Lengo ilikuwa ni watu kujiunga na chadema kwa njia ya meseji ya simu na kuituma kwenye one center number.
Njia hii pamoja na ile ya kuichangia chadema kwa njia za simu zinahujumiwa sana na CCM. That is a challenge.
However, Mimi si mtu wa IT kwa hiyo sijui kuhusu njia hii mpya kama inaweza kuhimili hujuma za CCM.