online jobs

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Wadau nijuzeni kuhusu kazi za kwenye mtandao(online Jobs) maana nimekuwa nikiperuz nakutana na kazi za aina hiyo sasa nashindwa kujua kwamba are they applicable, maana utaona kwenye tangazo "she earns us $500 every week working online'' naomba msaada wenu kwa ajuae.shukrani
 
HIYO WANAYOKUAMBIA $500 KWA WEEK USIWAAMINI MKUU, THEY WANT TO USE U, AND GET SOMETHING.

KU EARN MONEY ONLINE NI KWELI KUPO BUT KUNA NAMNA NYINGI, NA NITAFAFANUA CHACHE KAMA IFUATAVYO:

1. KU-PUBLISH ADS KWENYE WEBSITE/BLOG YAKO. KWA MFANO GOOGLE ADSENSE PROGRAM (UNAWEZA PATA $1 MPAKA $1O KWA SIKU)

2. PAYED TO CLICK SITES (PTC)

3. KUNA ONLINE SURVEYS.

4. KUNA ARTICLES WRITING.


KATI YA ZOTE HAPO ZINALIPA ONLINE, HIYO YA PILI HAIHITAJI UZOEFU, JUST GO TO LINK THEN CLICK ADS, NA UTAKUWA UNAPATA CREDITS KWA KILA CLICK.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom