ONLINE EXAMINATION SOFTWARE

ONLINE EXAMINATION SOFTWARE

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Habari wadau na wataalamu wa masuala ya software. Mimi ni mwalimu ambaye natafuta Online Examination Software kwa ajili ya wanafunzi wangu kufanya test/mitihani online kwa kutumia Simu au tablet za ndugu zao muhimu TU awe na account yake baada ya kusajiliwa.

Mwalimu aweze kuandaa mitihani ya Multiple choice, fill the blank, short answers, hata kama essay. Kisha anaweza kupublish na Target students/pupils waweze kufanya.

Kama unaelewa ninachotaka au ninachotafuta, Tafadhali nisaidie KUPATA kwa mawasiliano 0754004189.

Endeleeni kubarikiwa.
 
Back
Top Bottom