Online Comedy bora kabisa kwa sasa hapa Bongo

Online Comedy bora kabisa kwa sasa hapa Bongo

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,702
Reaction score
35,755
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu

1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Jay mond
5.Babu K
6.Claim tz
7.Ebitoke
8.
9.
10.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
 
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu

2.Oka-Martin
Huyo Oka-Martin ndiyo Tin white au!
 
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu

1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Babu K
5.Claim tz
6.Ebitoke
7.
8.
9.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
kuna yule mc pilipili sijawahi kumwelewa,,,,et ni mchekeshaji cha ajab yy ndo huwaga anacheka badala ya sisi wachekeshwaji kucheka,nadhani yule hujichekesha mwenyewe
 
Jaymond sometimes yes sometimes no...

Dullvan Ni Creative Ni fundi sema asipoangalia atabanduliwa

Clam tz anahitaji kuongeza juhudi.

Okay na Martin at least

Photogenic tz at least

Ramsonleetz Ni fundi sema mvivu kufanya kazi mpya..

Dalachaz Ni fundi sana sema sijui nyota au kisa afuati trend.

Mjeshi na bene creative wapo vzr

Sammie kioko from Kenya Ni nyoko.

Yycomedy at least.

Nawajua karibu wote aisee sema sina mda kuwaweka Hapa
 
Back
Top Bottom