donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Megawatts 180 hizoMtindi na Cocacola? Nona Kinyerez 1 inakarbia kuwashwa
[emoji3] [emoji3]Mtindi na Cocacola? Nona Kinyerez 1 inakarbia kuwashwa
Hizo chache mbna mkuuHizo pilipili mbona nyingi hivyo!
Hivi chakula gani ambacho hulagi we jamaa na misosiDona bamia.View attachment 622572
Hahaha, sidhan kama kuna ambacho sili mkuu as long as ni chakulaHivi chakula gani ambacho hulagi we jamaa na misosi
Hahaha asante mkuu, huwezi amini I learnt cooking thru apps za simu na videos kwa YouTubeNimegundua wewe ni mpenda msosi kama Kasie au tuseme hujinyimi kwenye chakula.
Kama unajipikia mwenyewe hiko chakula hongera sana, siku ukija kuoa mwanamke hatakusumbua na maringo au moods za leo sijisikii kupika nataka tukale chakula cha kununua wakati huo vitu vya kupika vioo ndani na hela ya kununua msosi mgahawani aidha haitoshi au haipo kabisa kwa wakati huo.
Usiku mwema.