ONGUJO: Rorya ina majogoo watatu tu!

ONGUJO: Rorya ina majogoo watatu tu!

Sango Ochwera

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
98
Reaction score
26
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kiburi cha Pesa na dharau kwa watu wa Rorya,mwanasiasa uchwara na kada wa Chama cha Mapinduzi wilayani Rorya Ongujo wa Kibara amesema kuwa Rorya ina majogoo watatu tu ambao ni yeye mwenyewe,Lameck Airo na Charles Ochelle na hivyo wengine wote ndani ya Rorya ni majike.
Ongujo alitoa kauli hiyo katika harambee ya kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Raranya.
 
Ngoja wawatukane,Rorya mmechagua darasa la saba kuanzia madiwani,Mwenyekiti wa halmashauri hadi mbunge kwa sababu ya ujinga wenu wa kupenda hela ndogondogo!
 
Hivi ule mnyukano kati ya 'wasomi' wa Shirati na 'wafanyabiashara' wa Utegi ulishaisha katika siasa za Rorya? Au kauli hii ni mwendelezo wa mnyukano huo?
 
Ha ha ha minyukano inaendelea, wamemshau mwingine anaitwa Baraka Otieno! Na mabata je ni mangapi?
 
Ngoja wawatukane,Rorya mmechagua darasa la saba kuanzia madiwani,Mwenyekiti wa halmashauri hadi mbunge kwa sababu ya ujinga wenu wa kupenda hela ndogondogo!



VPVD
Nimependa ulichoandika kinasound ukweli mtupu,halafu hamna watu wanaojidai wajuaji,wajanja hasa anapokuwa na chenchi kidogo ya kubadilisha mboga wana dharau,maneno machafu yanayotoka midomoni mwao hata choo kina nafuu
Wanavyotukanana ni kawaida yao
 
majogoooooooo!........Majikeeeeeeeeeeeeeeeeee! wote hao wanafikiria kwa kutumia m.a.t.a.k........................
 
Back
Top Bottom