Ongezeko la wanawake wenye vitambi

Mazoez hawataki wanagida Savanana na Light bado Kuku za KFC what do u expect ona huyu Mama ana 40+ by age lakin kama Bint wa 30 hv
 
Utoaji mimba... Kutumia vyakula vya mafuta sana... Kutokufanya mazeozi... Uzazi...
Hivi kati ya wale wapenzi wako wawili wa JF yaani Kasinde na mahondaw ni nani ana kitambi kikubwa zaidi mkuu?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tamaa tu huna lolote wewe unashindwa kumwambia mpenzi wako afanye diet.!
 
Matumizi ya ARVs, Uzazi wa mpango, vyakula vyenye makemikali,uvivu wa mzaoez, n.k unakuta jitu linakitambi chenye michirizi kama pundamilia alafu chura imepotea kabsaaa
Astaghfirurah! Wee unavoongea kama umejiumba! Hv kuna mtu asietaka chura kweli? Sema ndio kaumbwa hivyo[emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…