Ongezeko la vifo vinavyotokana na nimonia, shida ni nini?

PesaNdogo

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
1,994
1,291
Hivi karibuni imekuwa kawaida kusikia mtu mzima anaumwa nimonia, zamani tulizoea kusikia watoto ndio wanapata haya maradhi na hasa sehemu zenye baridi kinyume na sasa Dar watu wanapata.
Je, ni wimbi la watu kupungukiwa kinga za mwili?
Au hawa bacteria wamekuwa sugu, wamekomaa na kuwa wakali zaidi?
Tufanye nini?
 
Dar wanapata kwasababu ya life joto, mtoto anavalishwa minguo, anafunikwa unakuta analoana na jasho inamsababishia nimonia
 
Back
Top Bottom