Ongezeko la mshahara Tangu 2015 mpaka 2022

Chamsingi sana ni serikali kuongeza kima cha chini cha mishahara na pia kuweka leveling katika ulipaji wa mishahara

Sio unakuta kwamba katika taasisi mbili tofauti watumishi wenye sifa sawa lakn wanatofaut kubwa katika mishahara yao

Kwa kumalizia hali ni ngum saana kwa watumishi wa kada ya chini na ukizingatia tunamikopo yaan 90% tunapokea kuanzia 140000 mpaka 250000 kwa mwez hata sijui tunawezaje kuishi kwa kwel inauma sana..
Mishahara inatofautiana kwasababu ya unachozalisha na risk aliyonayo mtumishi. Haiwezekani mishahara ikafanana
 
Habari zenu wakuu,

Poleni na Hongereni kwa kutumikia Taifa kupitia nyanja tofauti tofauti kuanzia wakulima, wafugaji, mafundi, wafanyabiashara na watumishi wa umma.

Baada ya salam naomba niende kwenye lengo la kuandika maneno yote haya.

Kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa 2022 hakuna zile Annual increments Kwa watumishi wa serikali,

Ongezeko hilo lipo kwa mujibu wa sheria na serikali haikuweza kutekeleza hilo Kwa miaka 7 sasa licha ya kuwa ni utaratibu uliopo kikanuni.

Ni asilimia ngapi ya kiwango cha mshahara ambacho kikiongezwa kinakuwa kimefidia miaka yote ambayo annual increment haikuweza kuongezwa kwa watumishi?

Asanteni sana na karibuni.
Duh sio pos
 
Chamsingi sana ni serikali kuongeza kima cha chini cha mishahara na pia kuweka leveling katika ulipaji wa mishahara

Sio unakuta kwamba katika taasisi mbili tofauti watumishi wenye sifa sawa lakn wanatofaut kubwa katika mishahara yao

Kwa kumalizia hali ni ngum saana kwa watumishi wa kada ya chini na ukizingatia tunamikopo yaan 90% tunapokea kuanzia 140000 mpaka 250000 kwa mwez hata sijui tunawezaje kuishi kwa kwel inauma sana..
Mikopo mliifanyia nini? Kuna hotuba ya Nyerere anasema mnadai mnadai muongezewe mishahara hv mnakumbuka unaemtumikia anashinda njaa na wengine ndo wamevunjiwa ofisi zao , sijui mmelifanyia nn taifa kudai muongezewe mishahara ? umeme full kukatika ( TANESCO ) ,Rushwa, wizi , ukabaji , ujambazi + panya road umerud kwa kasi mno
(JESHI LA POLISI ) ,Mahakamani kesi za kubumba ndo zimetawala ( MAHAKIMU +WANASHERIA WA SERIKALI ) Wanajeshi kutwa kutembea na wake za watu , walimu wanatembea na wanafunz , madaktari ndo wanaenda lunch kuanzia saa 6 kurud saa 9 , Viongozi + Wawakilishi wetu wanajali matumbo yao tu na kusahau kiapo chao cha kuwawakilisha wananch , HALAFU MNADAI MUONGEZEWE MISHAHARA KWA LIPI HASA MLILOFANYA , Mfyeuuuuu !
 
Habari zenu wakuu,

Poleni na Hongereni kwa kutumikia Taifa kupitia nyanja tofauti tofauti kuanzia wakulima, wafugaji, mafundi, wafanyabiashara na watumishi wa umma.

Baada ya salam naomba niende kwenye lengo la kuandika maneno yote haya.

Kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa 2022 hakuna zile Annual increments Kwa watumishi wa serikali,

Ongezeko hilo lipo kwa mujibu wa sheria na serikali haikuweza kutekeleza hilo Kwa miaka 7 sasa licha ya kuwa ni utaratibu uliopo kikanuni.

Ni asilimia ngapi ya kiwango cha mshahara ambacho kikiongezwa kinakuwa kimefidia miaka yote ambayo annual increment haikuweza kuongezwa kwa watumishi?

Asanteni sana na karibuni.

Mwendazake alikuwa mbinafsi mno kiasi kwamba alishindwa kuwaongezea mishahara watumishi ndo maana hajadumu
 
Back
Top Bottom