Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,025
Reaction score
1,878
Hongera kwa kuongezewa mshahara!

Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya?

HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid.

Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii, tuambie nawe unapatje uhuru wa kiuchumi? Unafanyaje?
 
Boss mbona mshahara bado hujatoka
 
Back
Top Bottom