Ongezeko la mbwa wa serikali iingilie kati kuepuka madhara

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,876
Wakuu kuna jambo linanishangaza.kuna hawa mbwa wa kijijini hawa kina bosco,brown ,simba etc.kila sherehe ya kijiji wapo haijalishi wamealikwa au vipi,kila msiba wa kijiji wapo haijalishi alokufa wanamjua au vipi.

Kuna.msimu wananenepa saana .na.kuna.msimu wanabaki mifupa mitupu sijui ni kwanini. Ila hawafi never
Changamoto niliyoiona kama raia mwema.

Hawa mbwa ipo siku wataleta madhara makubwa.hapa kijijini kwetu wapo mbwa zaidi ya mia hamsini na kila mtu anasema sio mbwa wake, wenye mbwa ni watano tu na hao mbwa hawana time nao wanajilisha na kujiuguza wenyewe pale ni kwao kwa jina tu.

Siku wakipata kichaa walete madhara kwa raia nani alaumiwe mbwa wote hawa kwenye makazi ya raia??
 
Back
Top Bottom