Pole sana ndugu, ndio maana Ghasia hakupenda kuji-commit! Pia JK alipodai kwamba hata mgome miaka 8 hamtaongezewa mishahara hukumwelewa?Wadau leo hii nimepata salary slip ya mwezi July,kamshahara kangu kameongezeka kidogo kwa kama 11.2%.,sasa sifahamu kuwa hili ni ongezeko la kawaida kwa mwaka au ndo lile ongezeko aliloahidi JK na kupigiliwa msumari bungeni na Bi Ghasia!Kama ndo ile ahadi basi haya ni masihara kwa watumishi wa umma,au mnaonaje wadau?
duh hiyo kali,..mshahara wengine bado kabisaHapana mkuu!ukweli ndo huo!sio typing error.