ila kweli bwana la msingi tuongezeane siku tu ,nchi ishauzwa hii!hata hela ya vocha japo ya 450 hatujagawiwa!ahMaisha yenyewe mafupi haya! Kwa nini nisikuongezee walau one day? Haya kula hiyo! Ni kijana tourguide akiongea na mtalii kabla hawajapanda mlima.
"To plant mout Kilimanjaro is very president job " kwa maana ya "kupanda mlima K'njaro ni kazi rahisi sana"
Niongezee siku basi na wewe! Kupeana si ni kikoa bwanaa! ?
tehe tehe tehe....
Hapa A-town peoples safi safi sana!ha ha ha....I want to plant this mountain......
upo kiongozi?
nipo mkuu, nimekuja kwenye bandiko la mkuu JT kuongeza siku aisee..habari?
kweli nimeongeza siku jamani
kasimu acha kuvuta mto wangu..... katelefone dont smoki my river teh teh
Ok, Hope mambo yanakwenda fresh!
kila la kheri mkuu1mambo fresh kabisa, tunalisongesha kwa kudra za Maulana...wagogo huwa wanasema "mambo mswano"
Kimbweka , yote 9!
10 kuna kiazi au niseme viazi vililetwa hapa jamvi jana uliviona?