Ongea ya Mbowe na watu kukaa kimya

Ongea ya Mbowe na watu kukaa kimya

Labda huwa ana matunguri yake,hatuwezi jua sisi.
 
Aghalabu haya ni matokeo ya kipaji na ukweli kubusiana mwaa! Mwangwi wa hilo huugusa kila moyo wa aliye mbele ya fanani.
 
Aghalabu haya ni matokeo ya kipaji na ukweli kubusiana mwaa! Mwangwi wa hilo huugusa kila moyo wa aliye mbele ya fanani.
Dah! Umenikumbusha form two mambo ya fasihi andishi na simulizi.
 
K<script id="gpt-impl-0.09735627099871635" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_69r.js"></script>wa sababu lile dili la kumkaribisha Lowasa Ukawa na kudai sio fisadi liliwashangaza watu.

Hivyo akisimama kuongea watu wanasikiliza kujua atakuja na mpya gani.

Mbona hata akichangia mada bungeni vivyo hivyo bunge hutulia hata pinda huwa anaacha kuandika
 
Kati ya watu wenye hotuba mbovu ni Magufuli na Kikwete. Hoatuba zao hazina mbele wala nyuma ni vijembe tu
 
Back
Top Bottom