KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Sep 21, 2016 #1 Wakuu heshima iwe kwenu natumai mmeshinda salama naombeni msaada kwa wazoefu wa mambo haya ya umeme.Kati ya hizi Main Switch ipi ni nzuri zaidi ya nyingine na bora kwa matumizi ya nyumbani TRONIC ONESTO HALVES.
Wakuu heshima iwe kwenu natumai mmeshinda salama naombeni msaada kwa wazoefu wa mambo haya ya umeme.Kati ya hizi Main Switch ipi ni nzuri zaidi ya nyingine na bora kwa matumizi ya nyumbani TRONIC ONESTO HALVES.
nafiaafrca JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 248 Reaction score 308 Sep 22, 2016 #2 Minatumia enesto iko vizur sana
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,110 Sep 22, 2016 #3 Tronic iko sawa