PreGE2025 Onesmo Olengurumwa: Sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji

PreGE2025 Onesmo Olengurumwa: Sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema:

Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo, sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji, zoezi linaweza kupita na Watu wakakosa nafasi ya kujiandikisha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi wanatakiwa kwenda kujiandikisha kwa kuwa huwezi kushiriki kama hujajiandikisha, waache kupuuzia haya masuala ya Uchaguzi, waendele wakajiandikishe na kuboresha taarifa zao.

1742560472907.png
 
Back
Top Bottom