MANGE KIMAMBI ANAJIBU:
I’m not a political analyst or strategist Ila if you ask me I think this is the plan.
They will find him guilty of treason, which means hatoruhusiwa tena kushiriki siasa/ kuwa kiongozi wa chama cha siasa.
Then kimama sababu ni mama mwenyewe huruma na kutaka maridhiano ya kitaifa, atampa msamaha wa rais, Ila kumbuka hata baada ya msamaha wa rais hiyo record ya treason haifutiki so bado hatoruhusiwa kushiriki official siasa za TZ.
Then Chadema itabidi wafanye tena uchaguzi kupata Mwenyekiti mpya, this time CCM hawatofanya kosa walilofanya kwenye uchaguzi wa Mbowe. This time watahakikisha Chadema inapata Mwenyekiti watakaem-mudu yani mtu kama Mbowe vile, mtu ambae hatowaletea mambo ya no reforms, no election, watahakikisha Chadema inapata Mwenyekiti wa kulinda kura ila sio wa kugomea uchaguzi.
Mpaka hapo CCM na wauwaji wake watapata wanachokitaka, Lissu nje ya siasa za TZ, kimama kumpa msamaha wa Rais kama maridhiano and most importantly upinzani wa kisiasa Tanzania utakuwa umekufa moja moja au utakuwa under total control ya CCM.
Mpaka hapo wananchi watakuwa wenyewe, with no leadership and no hope kitu ambacho CCM wanahope kitafanya wananchi wa-give up mapambano dhidi ya serikali n instead wajikute wanawakimbilia wao wao CCM waliowapiga risasi sababu they have no where else to turn.
Lazma tufocus kwenye kuwajengea wananchi mentality ya kuwa na matumaini and hope, regardless of how Chadema or Lissu will end up.
If you ask me hii kesi, imelenga kumuondoa kwenye ramani ya siasa kiongozi mkuu wa chama pekee cha upinzani Tanzania.