g.n.n JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 407 Reaction score 49 Aug 5, 2015 #1 Hi guys, anyone hapa Bongo ambaye ameshakuwa na access na hii simu msaada tafadhali, nimecheki ebay sijaona seller anaeleta Bongo. Kama umefanikiwa kupata dis phone au kuna namna naweza pata plz msaada wako ni wa muhimu sana.
Hi guys, anyone hapa Bongo ambaye ameshakuwa na access na hii simu msaada tafadhali, nimecheki ebay sijaona seller anaeleta Bongo. Kama umefanikiwa kupata dis phone au kuna namna naweza pata plz msaada wako ni wa muhimu sana.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,220 Reaction score 44,194 Aug 5, 2015 #2 Duh kirahisi namna hiyo? Labda uuziwe kwa bei ghali zaidi ya alionunulia maana sidhani kama mtu atapanga foleni halafu akuuzie wewe. Anyway goodluck pengine unaweza pata asie na kazi nayo
Duh kirahisi namna hiyo? Labda uuziwe kwa bei ghali zaidi ya alionunulia maana sidhani kama mtu atapanga foleni halafu akuuzie wewe. Anyway goodluck pengine unaweza pata asie na kazi nayo
Riccristin JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 350 Reaction score 51 Aug 8, 2015 #3 Kwa nn usisubir onePlus 2 cuz iko mbioni kutoka..
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,828 Reaction score 1,860 Aug 8, 2015 #4 Riccristin said: Kwa nn usisubir onePlus 2 cuz iko mbioni kutoka.. Click to expand... Ni yale yale itatoka na kuishia majuu. Wabongo ni tecno,samsung,sony itel,lg,labda kidogo na blackberry, wamemaliza kazi.
Riccristin said: Kwa nn usisubir onePlus 2 cuz iko mbioni kutoka.. Click to expand... Ni yale yale itatoka na kuishia majuu. Wabongo ni tecno,samsung,sony itel,lg,labda kidogo na blackberry, wamemaliza kazi.