sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
You are right Michelle. I can't agree with you more!''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.
Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.
Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hoja hii Michelle!!''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.
Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.
Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.

Unawatukana mpaka wazazi wako, Kijana umefikia kiasi cha kukosa adabu na heshima kiasi iki?
MWANDISHI WA MAKALA HII HAPA CHINI NI PROFESSOR WA HISTORIA CHUO KIKUU CHA NAIROBI...NIMEPENDA SANA MAKALA YAKE IMENIKUMBUSHA JINSI SISI TULIVYO WAJINGA...KWA NINI WATANZANIA TUSIIGE MFANO WA WATU WA KENYA? BADALA WATU WAANGALIE MAMBO YA MSINGI WANAKALIA KUSEMA KUCHAKACHUA, KUCHAKACHUA HIVI MITANZANIA KWANINI MIJINGA??? SOMENI
Daily Nation: - Opinion |Tanzanians waking up from long slumber
Hiyo ni adabu ya chadema ya kweli...Unawatukana mpaka wazazi wako, Kijana umefikia kiasi cha kukosa adabu na heshima kiasi iki?
Binafsi sioni kama kamtukana mtu yeyote. Hii ni analysis nzuri tu na imekuwepo muda mrefu. Tatizo kubwa la jamii ya Tanzania kushindwa kuwa na fukuto la kisiasa ni kukosa mfukuto wa harakati dhidi ya migongano (contadictions) zilizokuwa zinajitokeza. Ndio maana kwa muda mrefu Watanzania wamekuwa wakiridhika na hali za maisha yao bila kuwa na sehemu ya kuanzia harakati hizo.Unawatukana mpaka wazazi wako, Kijana umefikia kiasi cha kukosa adabu na heshima kiasi iki?
ingekuwa wakati wa kampeni, JK angetumia hiyo statement ya prof kuombea kura
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.
Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.
Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!
Ushauri wa bure kwako mtoa mada KAYAGILA. Mara nyingine ukitaka kutuma kitu kwenye jamvi hili hakikisha unasoma vizuri na kuelewa vyema kilivyoandikwa. Kwa hiyo headed yako haiendani na alichoandika mwandishi maana nimesoma na sijaona sehemu Prof. alipoandika kwamba watanzania ni mijinga. Kuwa makini mara nyingine unapotuma topic na kichwa habari unachotumia
Umeniwahi Michelle. The man has only been considerate kwa wezi wa EPA ... 'warudishe'; wala rushwa ... 'nawawajua nawapa muda wajirekibishe' etc. Ila kwa wananchi, haiwezekani kusomesha bure; simenti haiwezi kushuka, na kwa kejeli anasema kelele za mlango hazimzuii .... Malizieni.