Miss Queen
Member
- Oct 6, 2016
- 75
- 58
We zako umezificha..??
Sivai hizoWe zako umezificha..??
Unavaa cheni? au unaweka kiuno kama cha mwanaume..?Sivai hizo
Unavaa nn?!Sivai hizo
Yeye anavaa moja tu ya goldWe zako umezificha..??
Naomba kuuliza tu mkuu;Jitu kama hili nikiliona naliambia livae tu nguo zake lijiendee.
SawaNaomba kuuliza tu mkuu;
Kwa sababu? Ukimwona huko rodini au chumbani kwako. Huwa unawatoa nguo na kuwapigisha paredi au? Akichujua nguo hupendeza tu ka unajua kazi ya shanga, wallah utafurahi sana.
Ila ka nikimuona ameanika hivyo rodini, hata miye simchukui kwangu. Labda usiku nim do niishie zangu. Usimwite "jitu" anawafaa wengine