oneni haya majanga...

oneni haya majanga...

Joined
Dec 16, 2012
Posts
49
Reaction score
8
NIna mke lakini nina miezi kadhaa sijatakuna naye kimwili,kisa ni majukumu ya kimaisha,mke wngu ni fundi nguo,mm ni shopkeeper ni mara chache nalala nyumbani,lakini mke wamgu hua amechoka,kumbuka vipato vyetu ndio huendesha maisha yetu na watoto wetu 3.hivyo naogopa kumuachisha..kukosa kwngu ngono najihisi kuathirika kia,kili yaani simtamani kabisa wife kutokana na makelele yaake ya kuchosha

UShauri jamani
 
Mbona sijaona majanga yoyote hapo mkuu? Au cjaelewa? Mh ngoja wikend iishe kwanza ntarudi!
 
Tatizo wote wawili mmesahau kuwa kujamiiani kwawanandoa yaani mke namume ni ibada napia riziki nakipato chako anaepanga ni mungu,,badilikeni lasivyo mtaishiwa kuwa navipato hvyo hvyo miaka yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom