One poor girl like me

One poor girl like me

unavyo andika uwe na kumbukumbu kama cyo maskin wa elimu mbona hujui kuandika na tena unatuigizia nenda TMT kama unakipaji
 
unavyo andika uwe na kumbukumbu kama cyo maskin wa elimu mbona hujui kuandika na tena unatuigizia nenda TMT kama unakipaji

elim sio kusoma au andika..ni kujitambua unayo fanya sasa tafasiri hii brazil lingua meres tu mi vida afu uone erimu ako inakusaidia aje ktka utambuz a lingua. :-(
 
Hawa ni watoto wa shule likizo ikiisha hutaona tena hizo thread...zamani mbona threads za mapicha picha tumeziona nyingi tu? Kanaibuka kajamaa ...leo kanasema kana miaka 21 hakajawahi kujihusisha na mapenzi...baada ya saa tano atakuja na uzi mwingine...mimi ni kijana wa miaka 28 natafuta mchumba...siku hiyo hiyo usiku ataanzisha uzi mwinge 'nina miaka 35 nimeoa' mke wangu ana jamba sana usiku naombeni ushauri!

Ahaahhaha 😂 😂 😂 😂, mkuu na sasa wanapishana tu, hawa wanaenda shule wale wa mama Salma wanaingia kitaa. Subiri kuanzia Mwezi JULY utaanza kuona threads zao.
 
Vijana wa sikuhizi ni usharobaro na kuwaza mapenzi tu badala ya kusoma ili ajikwamue na huo umaskini anatafuta maskini mwenzake ajifariji
Mimi nimemwelewa wacha kukosoa mahitaji ya mtu c uandike na wew yako, fwata mambo ako km haikuhusu, kwanza kwani wewe ni Manzi? Hajamaanisha umasikini unaoufikiria wew, Bali hiyo ni moja wapo ya fasihi andishi, ametumia tamathali za semi,
 
Iam Edu, 26 looking for you poor lady under 22 for coupling, neither ur education nor your business neither your color nor your height as long as you you will fit my poverty soul.

Pm or 713 123 160 waiting
I know how the poor soul is?so usianye chaliangu utapata wa type ako, everything has its own tym to happen, worry not boi
 
Back
Top Bottom