One of the quick ways of making money if you are in Dar.

mkuu mponjoli.... asante sana...... hapo kwenye underlines umenisaidia sana kutoa maelezo mazuri
 
<p>
Mambo siyo rahisi kihivyo Bongo bana
</p>
<p>&nbsp;</p>
tatizo letu waswahili ni attitude!ungekuwa ulaya ukaambiwa upige deki mcdonald's ungeona sawa tu!ugumu uko wapi,ongelea challenges zitolewe ufumbuzi!tena location nzuri buguruni kwa mnyamani manake wana-save nauli ya kuenda kununua luku!
 
LAT, nilisema hapo juu kwamba kibiashara ni wazo zuri, but what I meant is the practical impossibilty of LUKU VENDING business taking off with meagure capital of the mentioned amount of cash.
 
LAT, nilisema hapo juu kwamba kibiashara ni wazo zuri, but what I meant is the practical impossibilty of LUKU VENDING business taking off with meagure capital of the mentioned amount of cash.

mkuu ... nimekusoma lakini hii biashara ni possible as an indirect LUKU VENDER .... considering that the creativity of the business model will also target its own customer segment ..... the aim here is far enough that, the entrepreneur wants to offset unnecessary cost at the infant stage before he grows
 
Mkuu maybe let me explain kwa faida ya wote, the way i did it mwanzoni from Zero grazing. Last year but one of my friends in Dar called me and told me kuna biashara nzuri sana lakini inaitaji mtaji mkubwa sana. But he gave me very strong conditions that i must travel to Dar. Kesho yake nilifunga safari hadi dar. Alinipeleka kwa raki yake mwenye kumiliki kituo cha kuuza Luku. He wanted tufanye kazi wote lakini yeye alikua hana mtaji. We decided to go to Tanesco with an application letter. Secretary fulani pale Tanesco ubungo discourage us very much bcoz Tender ilisha tangazwa na zilikuwa zimebakia only 2 days to close the Tender. All the necessary documents required ilikuwa lazima nirudi Mkoani na niza kutafuta. Hapo it was saa tisa mchana. Rafiki yangu gave up and he said we can't make it and after all we didn't have the capital of 10m as a deposit ya Tanesco as per the contract. Sikumsikiliza, i just told him aniache for a while niende kwa one of my classmates kule Sinza.
My plan was to look for any vehicle going mkoani. I landed on a fuso going to Mkoani kwetu pale ubungo petrol station. I left Dar without informing my friend (alikuwa ananiletea usiku). I sent him an sms at 0300hrs at night when i was about to get home. When I arrived home i went straight to my sister and she discouraged me too. I ignored her, i went home i looked for all the necessary documents, at 1700hrs the same day i managed to get another Fuso za kupakia mizigo kwenda Dar. I left home that night for Dar. The next day i was in Dar at 1130hrs and the Tender was to be closed at 1400hrs the same day. Nilichoka ile mbaya. Nikawakilisha my documents and I paid the 50,000 fee for the tender. After some time mwaka jana i got a call from Tanesco Dar instructing me to report makao makuu ya Tanesco kwenye mkoa wangu. I went there nikapeleka wahusika kukagua sehemu nilizo omba na rafiki yangu. I we won the Tender from nowhere. Sasa mtihani ulikuwa where to get the 10m????? Wote we had no money.
My friend came up with the idea of selling off the Tender. Duh! Nikagoma. i requested my sister to help me with 100,000 instead she gave me 40,000. in my bank account i had 100,000. I bought Zain phone at 20,000 (zile za promotion at that time) and i engaged it with Zap ya 50,000 i got a better location nikaweka Tangazo la Luku. Within 4hrs nikauza yote 50,000 and my profit was 5000. I decided to get zap ya pesa zote nilizo kuwa nazo and I went on reinvesting all the profit I got for 4 consecutive months.

After my calculations, I managed to open 15 areas by talking to shopkeepers whose rent was not more than 30,000 a month. Under the conditions that, I pay for the rent and he has to sell my product. For them they thought wamenikamata lakini pia mimi niliona nimewakamata bcoz my money was safe I just wanted a profit of 9,000 per day for every transaction of 100,000 I made. Guys am not kidding i managed to get the 10m within 6 months. But it was not easy. Today, i and my friend we are one of the Luku vendors under Tanesco.
Benki zetu hazitoi mkopo wa kuanzisha biashara na pesa zimezagaa mtaani kutokana na mabadiliko ya technology ya dunia today. Sometimes opportunity comes ones before your body cells are won out.
Biashara ya huduma kwa jamii pays off, you can't regret why you went to school so long as you have plans.
Sasa jamani kama mimi niliweza kwanini wewe mwenye shida ya pesa pia usiweze??? kuna maajabu gani hapo?
 
Mkuu maybe let me explain kwa faida ya wote, the way i did it mwanzoni from Zero grazing. Last year but one of my friends in Dar called me and told me kuna biashara nzuri sana lakini inaitaji mtaji mkubwa sana. But he gave me very strong conditions that i must travel to Dar. Kesho yake nilifunga safari hadi dar. Alinipeleka kwa raki yake mwenye kumiliki kituo cha kuuza Luku. He wanted tufanye kazi wote lakini yeye alikua hana mtaji. We decided to go to Tanesco with an application letter. Secretary fulani pale Tanesco ubungo discourage us very much bcoz Tender ilisha tangazwa na zilikuwa zimebakia only 2 days to close the Tender. All the necessary documents required ilikuwa lazima nirudi Mkoani na niza kutafuta. Hapo it was saa tisa mchana. Rafiki yangu gave up and he said we can't make it and after all we didn't have the capital of 10m as a deposit ya Tanesco as per the contract. Sikumsikiliza, i just told him aniache for a while niende kwa one of my classmates kule Sinza.
My plan was to look for any vehicle going mkoani. I landed on a fuso going to Mkoani kwetu pale ubungo petrol station. I left Dar without informing my friend (alikuwa ananiletea usiku). I sent him an sms at 0300hrs at night when i was about to get home. When I arrived home i went straight to my sister and she discouraged me too. I ignored her, i went home i looked for all the necessary documents, at 1700hrs the same day i managed to get another Fuso za kupakia mizigo kwenda Dar. I left home that night for Dar. The next day i was in Dar at 1130hrs and the Tender was to be closed at 1400hrs the same day. Nilichoka ile mbaya. Nikawakilisha my documents and I paid the 50,000 fee for the tender. After some time mwaka jana i got a call from Tanesco Dar instructing me to report makao makuu ya Tanesco kwenye mkoa wangu. I went there nikapeleka wahusika kukagua sehemu nilizo omba na rafiki yangu. I we won the Tender from nowhere. Sasa mtihani ulikuwa where to get the 10m????? Wote we had no money.
My friend came up with the idea of selling off the Tender. Duh! Nikagoma. Then i asked him if he was suffering from what to do. I requested my sister to help me with 100,000 instead she gave me 40,000. in my bank account i had 100,000. I bought Zain phone at 20,000 (zile za promotion at that time) and i engaged it with Zap ya 50,000 i got a better location nikaweka Tangazo la Luku. Within 4hrs nikauza yote 50,000 and my profit was 5000. I decided to get zap ya pesa zote nilizo kuwa nazo and I went on reinvesting all the profit I got for 4 consecutive months.

After my calculations, I managed to open 15 areas by talking to shopkeepers whose rent was not more than 30,000 a month. Under the conditions that, I pay for the rent and he has to sell my product. For them they thought wamenikamata lakini pia mimi niliona nimewakamata bcoz my money was safe I just wanted a profit of 9,000 per day for every transaction of 100,000 I made. Guys am not kidding i managed to get the 10m within 6 months. But it was not easy. Today, i and my friend we are one of the Luku vendors under Tanesco.
Benki zetu hazitoi mkopo wa kuanzisha biashara na pesa zimezagaa mtaani kutokana na mabadiliko ya technology ya dunia today. Sometimes opportunity comes ones before your body cells are won out.
Biashara ya huduma kwa jamii pays off, you can't regret why you went to school so long as you have plans.
Sasa jamani kama mimi niliweza kwanini wewe mwenye shida ya pesa pia usiweze??? kuna maajabu gani hapo?
 
PD.... Nnaomba nitoe shukrani zangu za dhati kabisa hapo kwenye Underline
 
Mkuu i just wanted to share with some of the guys who think most of the things are impossible. One can always be where he wants to be if his determined. Kuhusu Tax hilo ni jukumu la mfanya biashara and long term business plans.
 
mkuu ungeanza na stori hii ya maisha yako wengi tumeamini haraka lakini si kwa kusema ni rahisi ivo! Hata akina mengi wanasema eti nlianza kwa kuzalisha pen za bic,sasa hatuwezi kufuata bahati yako alaf tuseme ni rahisi! Alaf unasema guys in dar mwishowe unaeleza ukweli kuwa hauko dar bali tanesco walikuja mkoani kwako ku evaluate business compaundi yako. Mi nlitaka kubisha kwa kuwa kwa dar ni dili sana hasa apo kwenye Tenda! Ila nimeelewa kuwa uko mkoa,sawa. Maana ukitokea mkoa mfano morogoro kilombero ni dhairi tenderers mtakuwa 2 au 3 wenye ufahamu mkubwa na hatimaye kukosa ushindani. Ila kwa dar ni ishu. Pia unasema eti 50elfu kama kianzio, hapana,mbona hauusishi indirect costs kama za kupata vending station,machine kama cm,printer,initial pay ya IT,umeme wa ku run printer,meals na tea,iyo nauli yako na general expenses? Business idea is not business bt an idea. Mkuu nakushukuru na nakupongeza kwa kufanikiwa ila si wote wanafanikiwa ivo ila wengi huishia kupigwa au kufungwa kwa kushindwa kulipa iyo elf50 iliyokufa kama mtaji pindi mambo yanapoenda mrama. Mfano,nina rafiki yangu ambaye alikosa karo enzi izo elf75 ktk seminary hapa tanzania,akakaa nyumbani mwaka,baada ya kufikiri sana ikabidi tumshauri amwombe mzee wake auze shamba la miti/ekalyptus ili amsomeshe na huo uwe urithi wake! Mzee alitumind eti kwa kukosa nidhamu lakni mwishowe alikubali na jamaa akapata ada baada ya form5 wakauza shamba tena akapata ada ya kumalizia,kajiunga chuo na 2005 akasimamia kura,kapata ela ya kuongezea fee kwenye ela ya Helsb. Alifaulu vizuri chuo,leo hii ni tutorial assistant udsm na amenunua mashamba na anajenga kijijini kwao kagera! Sasa uyu naye akija na theory ya kuuza mashamba tukasome utamuelewa?je ukimaliza f6 ukapata div.4 useme jf nimelizwa? Sikupingi ila hata mimi naogopa ku take risk kujaribu bahati kama zako. Ni vema kwa 'b'ness angels' kutupa mafanikio yao ila b'ness haina formula, mtu aweza ivo ivo akaja na machozi. Mi pia nshawai kukopa mil5 nkaagiza gari japan nkala faida na biashara ya kuuza magari inalipa ila nlivoanza kwa misuko suko,nkimshauri mtu atumie njia zangu,atakufa kwa presha! Mkuu hongera kwa mafanikio. Kuna mtu aliyewahi kwenda kukopa ili apate mtaji mil.10, alipokwenda benk wakamwambia apeleke security document ya mali isiyohamishika worthy 15mil/=akawauliza,jaman kama ningekuwa na mil.15 sasa mil10 yenu ningeitaka ya nini? Nami nasema kwa mwenye njaa ukimueleza arise biashara kama yako tena dsm,bora umweleze atafute ajira kwanza japo worthy lak4/5 alaf akusanye mtaji. Otherwise,nawatakia wanaJF mafanikio wenye kujaribu idea kama iyo,ila kumbuka kuwa na Enterprenuerial skills na risk management usije ishia kujilaumu!
 
mkuu wazo zuri sana , naomba usife moyo kwa watu ambao hawaungi mkono , ni vyema watanzania tujenge tabia ya kusaidiana namna hii kimawazo ,ni kama hadithi moja niliyoambiwa , kwamba watu 3 waliona mto wa maji , mtu 1 -akaenda kuoga maji , mtu wa 2- akaenda kufulia nguo , lakini mtu wa 3-akachukua yale maji ya kwenye mto na kwenda kuyauza , wote tumeona ZAP , lakini mwenzetu ni huyo wa tatu ,kila la kheri na huu ndo ujasiriamali
 
Great idea PM. There are different people in the world

1. People with ideas BUT have no Money
2. People with Money BUT have no ideas
3. People with ideas AND Money
4. People with NO ideas and NO Money (wanakuwaga wabishi sana hawa)
 
Great Idea....
 
STORY IS OLD BUT VERY INSPIRING. thanks #Prime Dyanamics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…