One of the quick ways of making money if you are in Dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

One of the quick ways of making money if you are in Dar.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prime Dynamics, Apr 29, 2011.

 1. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Whenever I get in Dar I like walking around wondering how beautiful and busy the city is. I met a friend who told me was hunting a job.
  I just want to share with some of you guys what I advised him.
  If you are in Dar you can easily get working capital required for a better business by using just 50,000 or 100,000. Najua unashangaa, this is how you should go about it.
  Pata simu kama Blackberry and printer {or any phone which has a printer icon}, get an IT guy to assist you connect your Blackberry to your printer. {Printer zipo nyingi sana bei nafu sana} Having done that, engage you phone with Zap. Pata sehemu safi weka tangazo la kuuza Luku kama wengine. Since people need print outs you are in position to do so. Hapo Dar there is no business person who can accommodate Luku demand.
  Sasa unatakiwa kuwa mjanja, convince wateja wako pia kwamba you can always send them the digits for Luku by sms unlike the print out. Buy Luku tokens using Zap. However, people should know that you do charge extra for the service.
  Your charges can be like this; Luku for 1000 - 3500 charge 300, Luku for 4000 – 8500 charge 500, Luku for 9000 -14,000 charge 1000. OR make some simple calculations and make sure each 10,000 invested produces 1000, if you can make a profit of 5,000 - 10,000 a day, reinvest that profit for 2 months. Remember Airtel will only charge you Tsh150 for each transaction you make for buying Luku so make sure a customer incur the cost.
  Man do you think you need to go for those expensive Maximalipo or Selcom? Unless you want to be their servant and make money for them, like most of those people who do use their devices to provide Luku service. Kuna pesa zimezagaa mtaani kwako unashindwa kuziokota, tena wanakuletea kama vile wanavyo zipeleka kanisani wenyewe. what you need is a better location which has demand for Luku service.
  Network problem sometimes it’s general but you should know how to represent it to your esteemed customers. This is how you should overcome network problem as it may happen during peak selling hours. Get a friend {whom you trust} who is Tanesco agent, you can always provide him kama laki mbili ili whenever there is network problem, you just give him a call in return he will get you the tokens. Nowadays making a call and sms is cheap. Tanesco agents use TTCL network so they rarely have net work problems. Man you will never lose your money since Zap pia ni pesa just make sure you get a friend at Airtel who can provide you with the necessary service at time T.
  As time goes by also provide M-Pesa service.

  Don’t just make money but make ways of making money. No miracles from heaven to make your ends meet. Just work hard and ask God to give you courage. I wish you all the best.
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nawatakia kila la kheri wote wa dar es salaam,kwenye mchongo huu
   
 3. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Good idea Mkuu.
   
 4. markach

  markach Senior Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tutaufanyia kazi ushauri wako
   
 5. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  PD yani kila uandikapo mi nakupa big five
  asante kwa kutupatia ideas za kutujenga
  ubarikiwe
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  wazo zuri,location ndiyo issue
   
 7. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mambo siyo rahisi kihivyo Bongo bana
   
 8. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu ukijijengia mazingira ya kutoweza definetly hutoweza. But if you say Yes i can you will make it. Kama mimi nimeiweza huku mikoani hapo Dar ndio ishindikane? whoever who has any question about this business feel free to ask. Guys it pays huwezi kuwa na shida ya cash flow.
   
 9. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Business planning Bongo Style!
  To be a luku VENDOR you must be legally registered with Brela na uwe na TIN kutoka TRA. To get that TIN you must prove that you either own or rent your b'ness premises so that TRA could easily collect their property and withholding Tax. Blackberry cellphones are damn expensive here (note that they're sold without accessories) and the printer will need ink or roll refil regulary.
  Hujaunganishwa na Tanesco bado. Wazo ni zuri kibiashara, but you ought to dig very deep into your pocket.
   
 10. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kamachumu wewe ni guru...nimekunyooshea mikono. Watu wengi (nikiwemo mimi) tunafikiria kupata pesa lazima uwe na mtaji wa mamilioni, kumbe mtaji ni kichwa chako na utekelezaji wa mipango yako. Naku PM number yangu ya simu,nitumie namba yako kwa sms.
   
 11. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,644
  Trophy Points: 280
  Great thinker
   
 12. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Prime Dynamics....Your excellency ideas,I am always very close to your ideas
  Your ideas are always creative and sensational,motivated and calibrated with venier calipers.real mtu unatoka hapa bila soo.
  Nakupa big-up ya hali ya juu unawaza sana hapa.
  I say Thanks for your ideas.
  I will work on it so closely.I will send sms to you dont hasitate to reply sir.
   
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  mawazo kama haya ndio tunayohitaji always, thanks.
  pd ideas + yours = success
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... watu wanamiradi mikubwa ya kuku wa nyama na mayai, wengine n'gombe wa maziwa zaidi ya ishirini na hawana TIN wala certificate of company registration

  more important here is the business idea to be a sweet one..... other things are just procedures

  lets push the wheel and success will cherish
   
 15. Amateur

  Amateur Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
 16. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Mradi tajwa wa kuuza LUKU haufanyiki kama ilivyoainishwa hapo juu. Lazima Tanessco wasubmit VAT returns kila mmwezi incuding maajenti wao.
  Beside, kwa nini usilipe kodi kama unataka kufanya biashara?
   
 17. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hizi challenges zote ulizoorodhesha hapa zote umetoa suluhisho mwenyewe. Muhimu kujua ni kwamba baada ya digging deep unapata faida ya kutosha. Hakuna biashara rahisi. Jamaa aliyeleta hii idea ni mjasiriamali wa kweli. Mara nyingi watu wasio wajasiriamali wanaanza na vikwazo kabla hata hawajafikiria positive side ya biashara yenyewe.

  Nimeajaribu kufanya What If Analysis ya haraka haraka, kwenye excel (reasonably). Nimegundua hii kitu inaweza kulipa kuliko hata mshahara wa Bank Officer, Accountant,mwalimu (simaanishi waache kazi zao waanze kuuza luku, ila nataka wanajamii wanaotafuta ideas wapate picha angalau kwa juujuu) au faida ya duka la vitu vya nyumbani (ambayo tunayo mengi sana uswahilini).

  To buy and sell token through ZAP, you don't need to register your business with BRELA. Tanesco authorized vender anatakiwa afuate hizo procedures. Pia si makosa kuuza luku bila kuwa authorized na TANESCO. Ukiwa na ZAP unakuwa unatoa huduma ya ZAP na unakuwa registered na Airtel kutoa huduma za ZAP ambazo katika hizo kuna kununua token za LUKU. Haya mambo muda mwingine ni mtazamo tu. Ukiwa na mtazamo hasi na woga wa kufanya mambo unaweza ukaishia kukosa kipato. Me naona hii idea inaweza kufanya kazi ili mradi usimuibie mtu, ukubaliane na wateja katika tariff zako.

  Mfano: Soda, bia na sigara bei zilizopendekezwa na watengenezaji zinajulikana. Lakini leo hii ukienda kempiski unauziwa soda sh ngapi? kwanini unanunua wakati unaijua bei iliyopendekezwa? unadhani kempiski wanaibia kampuni ya soda? pale unaenda sababu ya status and you have to pay for status. Huduma hii imejikita katika convenience. So people have to pay for it.

  Mchango wangu ni huo. Idea hii inafaa. Kazi ni utekelezaji.
   
 18. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Big up, i like it.
   
 19. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamaa yangu kwani Tanesco wanapo submit VAT return maajenti wao wanahusika vipi? Hujui hata unachokiongea. VAT return inakuwa submitted kuonyesha input tax(kwenye manunuzi) na output tax (kwenye mauzo). Output tax inainclude hadi mauzo ya agents (ambayo kwa hapa ni mauzo ya luku kupitia ZAP-haya yanakuwa captured na airtrel). Hii biashara ni kati yako wewe na mnunuzi. Hata siku moja hakuna contact na Tanesco. Kwa maana nyingine wewe unafanya biashara ya kuwanunulia wateja wa LUKU kwa sababu unayo access ya LUKU. Wala hufanyi biashara ya uagent wa LUKU. Ni kama mtu anayeenda kuwanunulia wenzake mzigo kariakoo wao wanamlipa commission kwa kuwanunulia.

  AIRTEL ni agent wa TANESCO. Wewe unaweza ukaamua kuwa Agent wa Airtel au ukawa mteja tu wa kawaida na ukawauzia wateja wa LUKU kama agent wa wateja (kumbuka unaweza kuwa agent wa muuzaji au mnunuaji). Hakuna mahusiano yoyote na TANESCO.

  Pia suala la kulipa kodi nakubaliana nalo,unapofanya biashara unatakiwa kulipa kodi. Lakini ulipe kodi sahihi, usizidishe wala kupunguza. Si kila kodi inamkaba kila mfanya biashara. Mfano kwa biashara hii VAT italipwa na Tanesco na atakayepata burden yake ni mtumiaji wa luku. kodi unayolipa wewe ni Income Tax ambayo utakadiriwa kulingana na mapato na withholding tax unatakiwa ukate kwenye pango uwasilishe TRA.

  Si kila biashara iko kwenye tax bracket. Biashara nyingi sana zinafanyika lakini TRA hawawezi kuzifikia kwa sababu tax net yao iko narrow sana. Hivyo fanya biashara,lipa kodi sahihi,kama kuna namna ya kupunguza mzigo wa kodi upunguze lakini usivunje sheria(kuupunguza mgizo wa kodi si kosa kama unafanya kulingana na loophole zilizopo kwenye sheria)
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... mtoa mada hajazumgumzia chochote kuhusu kutokulipa kodi .... that is wrong perception ..... kama mtu ana good business idea na system za ukusanyaji kodi zipo vague kwanini uanze kuhofia mambo ya kodi .....?

  hizo procedures ni za kawaida kabisa ... kinachuzungumziwa hapa ni kwamba biashara hii yaweza kuwa nzuri ...period and who ever implement it is also very important ... kwani unaweza anzisha bila good marketing strategy na uka fail na hata hiyo kodi ukashindwa kulipa ..... biashara lazima ilipe ndipo ufikirie kuifanya
   
Loading...