One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
aaah wapi dear... wakati na ujana wangu ulisha pita siku nyiiingi hamna mtu atanisogelea kwa hizo statement...
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!
 
Wanawake wengi kutopanda mlima Kilimanjaro ni janga la kitaifa. Wanasiasa sijui hawalioni hili?
mi nashangaa wanasiasa hawalioni wakiona chama kimepoteza umaarufu wanahamia chama cha upinzani
 

You see. I am actually against Gaddafi since day one. Cheki posts zangu hasa before the flyzone au cheki with my colleague Uwezo Tunao, Askari Kanzu, Tanmo, Nonda, etc at the International Forum. Na kama ningebaki na ile avatat ya Gadaffi usingesema mie mtanashati.
 
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!


Kweli Partner... itabidi niwe makini kidogo.... Asante dear... ila nawewe usidhubutu...
 
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!

Hahahahaha LoL! nani amekwambia Lizzy kama maini yanazeeka? hahahahah lol!
 
aaah wapi dear... wakati na ujana wangu ulisha pita siku nyiiingi hamna mtu atanisogelea kwa hizo statement...

Wazee nao huwa wanavizia mitaani siku hizi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…