Hujawahi kumtamani rafiki wa mkeo au GF na ikabaki hivohivo wala usiseme milele? na humu hivohivo mie namtamani buji kweli
EMT kitu ambacho mimi personally naamini ni kua ukishapata mchumba the mwenza via JF, lazima upigwe STOP za electronic networking zoote... and naona ni understandable...
Humu wanadanganyana tu, ndio maana wanataka one nite stand wakinasa wanarudi kulalamika humu
Nitamkomesha kwenye hiyo nite stand ili apunguze wingi wa thread, si baada ya night stand atapotea kidogo?
Waswahili hatuwezi haya mambo ya nite stand tuwaachie wazungu, embu fikiria waanawake wengine hawajawahi kufika kilele sijui wanaita, mara anaipata kwenye hiyo nit stand!!!! asikupigie saa sita usiku kwa nini!!!?kulalamika eti alikuwa amemzidi miaka sita. Kuna mwingine alikuwa analalamika anapigiwa simu saa sita za usiku. Halafu walikuwa bado hawajafanya one night stand. Sijui ingekuwaje kama walikuwa wameshafanya.
Waswahili hatuwezi haya mambo ya nite stand tuwaachie wazungu, embu fikiria waanawake wengine hawajawahi kufika kilele sijui wanaita, mara anaipata kwenye hiyo nit stand!!!! asikupigie saa sita usiku kwa nini!!!?
Subiri sasa purukushani za Bjbj kwa Gaga, utajuta kwa nini uliandika hivi 🙂
nafikiri hii part itawafaa...
tonight i'mma give it to you harder
tonight i'mma turn your body out
relax..let me do it how i wanna
if you got it i need it
and i'mma put it down
buckle up 'mma give it to you stronger
hands up we can go a little longer
tonight i'mma get a little crazy
get a little crazy, baby
Hizi beti nahisi nalala nazo nishachokaNafikiri hii part itawafaa...
Tonight I'mma give it to you harder
Tonight I'mma turn your body out
Relax..Let me do it how I wanna
If you got it I need it
And I'mma put it down
Buckle up 'mma give it to you stronger
Hands up We can go a little longer
Tonight I'mma get a little crazy
Get a little crazy, baby
EMT belive me the Avatar tell you a lot about a person... bahati mbaya unaweza kua wrong kabisaaa au uka hit jackpot!
you really sound like a very naughty girl...lol
and u like bad boys too lol
Unapiga super injunction kuingia JF? Siku akija na style mpya na maridadi halafu akuambie ameisoma JF you might consider removing the ban.
Hahahaa!Kabisaaa... unless you are really lucky or you are both absolute players... yaani kumvulia nguo a stranger kwako ni poa tu!
Hujawahi kumtamani rafiki wa mkeo au GF na ikabaki hivohivo wala usiseme milele? na humu hivohivo mie namtamani buji kweli
Bado nipo hapa, najiwakilisha mwenyewe!
Ila hao mimi ndo na admire kuliko woote, it is a gurantee kua hawana la kuficha...
No no no no... This i did in courtesy of the video Bak ameturushia....
Dhambi nyingi tu tunakatazwa but we keep on doing them, i hope tutapata nafasi ya kutubu before its too lateAmri ya Kumi inasema usitamani mwanamke asiye mke wako! Bado sijui kama hii ina-apply pia vice versa