Mkuu, hahahaaa!
Nitakujuza. Kama upo dar hebu nipe buzz onetime nikukutanishe na mdau muhimu akupe under the carpet fliflip.
Buji muhuni huyu! Hakuna one nite wala nini.
Umesoma?
dah mkuu BjBJ, nilikuwa na date na Member mmoja humu na ishu ilikuwa fresh kabisa kazi ilikuwa kwangu tu mzee, lakini katika kuja kucheki huyo shori alikuwa amenipiga gap ya miaka kama 6, mpango mzinma ukawa umeishia kaburini, nimechangia thread kwa kua imenifanya nifurahi ingawa nimetoka nje

Hahaha! Hapa ndo nakua sielewi, hivi experience na compatibility vinakutania wapi? Nataka kujua hiyo junction!Nakubaliana nawewe kabisa... kunasa ni rahisi saana hasa the experience ikiwa great!
According to the ushuhuda... in this case it was NOT....lol... i guess hawakua compactible...
Nimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.
Umeona eeeeeeNimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.
We siumejiunga juzi wewe???'
Humu wanadanganyana tu, ndio maana wanataka one nite stand wakinasa wanarudi kulalamika humuMsichanganye mambo, love can happen anytime, anywhere, anyhow and to anybody! So Jf members are not exceptional...no matter what, life should go on as normal!
Hahaha! Hapa ndo nakua sielewi, hivi experience na compatibility vinakutania wapi? Nataka kujua hiyo junction!
We siumejiunga juzi wewe???
Dont you think of another night stand!!!!!!Mhhhhhhhhhhhhhhhhh
Umeona eeeeee
Labda ndio maana alifanya one night stand. Angekuwa amejiunga zamani ingeweza hata kuwa 5 years stand.
Kuna watu Bigirita mko so comaptable kiasi kwamba the make na lugha iko sawa sawa hata experience zako sio necessary na woote mnafurahia to the maximum... mnapokua tofauti katika lugha ya hilo tendo na the make hapo experience inabidi ichukue mkondo wake...
dont you think of another night stand!!!!!!
Kuna watu Bigirita mko so comaptable kiasi kwamba the make na lugha iko sawa sawa hata experience zako sio necessary na woote mnafurahia to the maximum... mnapokua tofauti katika lugha ya hilo tendo na the make hapo experience inabidi ichukue mkondo wake...
Nimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.
Nitamkomesha kwenye hiyo nite stand ili apunguze wingi wa thread, si baada ya night stand atapotea kidogo?Nimeona, kwa hiyo usishangae siku moja Bujibiji anaku-PM from his toiltet for a date which might lead to a "one night stand". Inawezekana ameanzisha hii sredi apime hali ya hewa kwanza.