One Year Stand
.........aisee!!Shemeji Buji bwana ......sio kuwa inategemea na ladha ya mchezo ilivyokuwa? Kama mechi ilikuwa kali basi ni wazi PM's na vikorombwezo vitaendelea kwa sababu lazima umaintain contact bwana siku nyingine wawezatamani tena hahahhah but kama uliuza mechi basi lazima upotezewe........................... loh
tunaweza kufanya mie na wewe? hata leoShemeji Buji bwana ......sio kuwa inategemea na ladha ya mchezo ilivyokuwa? Kama mechi ilikuwa kali basi ni wazi PM's na vikorombwezo vitaendelea kwa sababu lazima umaintain contact bwana siku nyingine wawezatamani tena hahahhah but kama uliuza mechi basi lazima upotezewe........................... loh
mgeni huyu balaa.... join date august 2007; kha!!!:biggrin1:Jamani hiyo mimi ni mgeni;labda kama kuna mtu ambaye yuko tayari kufanya hivyo basi ninaweza kujaribu.Inawezekana ikawa inalipa!
mgeni huyu balaa.... join date august 2007; kha!!!:biggrin1:
Mlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?
PM na vikwerombwezo vinaewndelea?
Unaingia na ID mpya:biggrin1::biggrin1:
One Year Stand
haya mambo mengine ni vigumu kuyaongea.
Kila mtu kisha wahi kupitia one night stand, regard the less kama na Memba wa JF au la.
Mkipiga show, mnabaki marafiki huku uhusiano ukifa taratibu
Tunadanganyana,
navojua baby ni mtoto mdogo tena asieweza hata kuongea, sasa inakuaje leo watu wazima tunadanganyana kwa kuitana majina ya ajabuajabu? Mfano sweet/tamu, kwani kuna mchungu au mchachu?
Mamy/mama, kwani umenizaa?
Honey/asali, kwani mi nimetengenezwa na asali?
Jamani situitane tu majina yetu? Hivi ukiniita Mujuni ndo nitaona kuwa hunipendi? Au ndo stimu hazitakuja? Kwa nini tunadanganyana wakati asilimia kubwa hata hawamaanishi wanachokisema?
Please, may I submit this thread?