Uchi upo overrated sana bongolendini aisee, kila mtu akifeli mambo yake anasingiziwa mwanamke na uchi wake, kwani tofauti yake na kiungo kingine kama mkono, mguu, ubongo, kiuno, mgongo etc ni nini?
Mwanamke akitumia uchi wake (kiungo chake) anavyotaka wanaumia wanaume, lkn mwanaume akitumia mikono yake (boxing, writing, kuiba, kujenga etc), miguu yake (football, riadha, gwaride, kicking etc), ubongo (engineering, analysis, chess, etc) nknk, hutasikia mwanamke wala mwanaume anaumia.
Hichi ni kiungo tu kama vingine, fanyeni kazi na hamna nuksi wala kufeli kwa kuwa tu umekula au umeliwa. Unaruin your life kwa matumizi mabaya ya fweza, kukosa plan, kutokuwekeza, etc. Leave K alone brothers, mnaisimanga sana yani duh deile!😛
Povu ruksa!