One month from today...

Hongera sana mdogo wangu. Nakutakia kila la heri kwenye ndoa yako. Upate kufurahia maisha kama tunavyotesa sisi; na usipate taabu kama yule shoga yake FL1. Inshallah, tutakuombea mambo yake yaende poa!!

Kwa nini usije na kitu kipya kabisa (ukatoka kivyako vyako), kwa kafanya Bedroom party, ili wote tuhudhurie (sisi na ninyi) na kukupa tips. KPs are biased ila BP itakuwa balanced kwakni utapata pande zote mbili za shilingi. Unaonaje?:rolleyes:

Thanks DC, InshaAllah kheri. sasa that idea of a BP aint bad at all...shall we have practicals??? :rolleyes:
 
Not at all. Kwani kwenye KPs kuna practicals? You can for sure get testimonies from the horses' mouths! Could that be of any help? Just try to improvise:rolleyes:!
 
I strongly favour the BP with practicals...not hamrful to 'steal' som ideas from each other....
 
Siyo rahisi ki hivyo mkuu. Nani atakubali kumshughulikia wife wake mbele ya watu? Labda ukaokote mzoga somewhere. Hata hivyo hiyo BP itakuwa haina maana tena kwani itakuwa kama zile KPs za wale mashingingi waliokubuhu!
 
hahaha si tunaweza kujifanya 'vichaa' mkuu walau kwa siku moja..strict no cameras, no simu, no what....lol (lakini na mke ngumu)
 
Nilitaka kukuomba ujitoa mhanga. Lakini kwa hapo umemaliza kila kitu. Inawezekana tu kama wanaletwa wafanyabiashara ya kuonesha hayo mambo. Nasikia Thailand kuna club ambayo unalipia kuangalia watu wakifanya ngono (kiingilio ni zaidi ya dola 100 kwa kichwa). Ukipata hao wanaweza kuonesha practicals. Ila kwa mtu wa kawaida ni nguma sana tena ukiongelea kuingia uwanjani na mke wako (mama watoto wako, never)!! Ndo maana hata nyumbani tunafunga milango, na wakati mwingine kuzima taa. It's too private!
 
yap yap!!:rolleyes:
 
Hahahaa nimesoma hoo sredi mecheka.sana duuh

Hommie Asprin popote ulipo nina biya zako nne. Maana tukiwambia watu tumeanzia mbali hawaelewi. Ona sasa Mamndenyi anashangaa mambo ya Ponsio Pilato...hivi alikuwa anatumia jina gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom