"Upendo wangu utajiri mpaka uchoyo unanichukia chozi ufutwana ujasiri pindi moyo unapolia, kibogoyo mwenye mfupa siwezi tupa wacha nikale maana jua linaposhuka itanibidi nikale
Uchungu uzungu umeshika uswahili sio sifa tena tumeutema chini ya uvungu kuficha fikra za mtengwa
Siwezi kaba nitimize mahitaji vyakupita vingi vya msingi vitanifikisha....One (Salam) ft Shapseen