We ni kichwa cha kuku hizo kinga zina kua amended na vichwa vya kuku enzenu uko bungeni .Then mnaambiwa mumkumbuke nyerere. Kwa katiba hii ya kipumbavu ??
Mzee aliharibu sana nchi hii , hastahili hata kukumbukwa.
We ni kichwa cha kuku hizo kinga zina kua amended na vichwa vya kuku enzenu uko bungeni .
Hapo ndio utaona Tulia Jackson rangi yake halisi. Mkataba ataubwaga chini😆😆Serikali na Bunge imeonekana mna nia kabisa na ili dubwasha la DP World mliendeleze bila kujali wananchi wanasemaje! basi mi nawaomba kwa dhati kabisa Mh Rais Samia Suluhu uondoe kinga ya kutoshtakiwa kuanzia kwako mpaka kwa wasaidizi wako na spika wa bunge na jaji mkuu wote wawajibike ata kama walishatoka madaraani kwa makosa yenu ambayo mlisababisha Taifa eidha kupata hasara au kupolwa chochote.
ilo tu.
Nyerere alileta Katiba hii kulingana na mazingira ya wakati huo lakini hajazuia mabadiliko ya Katiba maana Katiba ni mali ya Wananchi na siyo mali ya RaisThen mnaambiwa mumkumbuke nyerere. Kwa katiba hii ya kipumbavu ??
Mzee aliharibu sana nchi hii , hastahili hata kukumbukwa.
Tuondoe kinga thubutu! Mje mtunyoe kwa chupa 🤣🤣🤣🤣Serikali na Bunge imeonekana mna nia kabisa na ili dubwasha la DP World mliendeleze bila kujali wananchi wanasemaje! basi mi nawaomba kwa dhati kabisa Mh Rais Samia Suluhu uondoe kinga ya kutoshtakiwa kuanzia kwako mpaka kwa wasaidizi wako na spika wa bunge na jaji mkuu wote wawajibike ata kama walishatoka madaraani kwa makosa yenu ambayo mlisababisha Taifa eidha kupata hasara au kupolwa chochote.
ilo tu.
Wewe ndio unayemlaumu babu yako kwa sura yako mbaya sababu hakumchagua bibi mzuri zaidi...Then mnaambiwa mumkumbuke nyerere. Kwa katiba hii ya kipumbavu ??
Mzee aliharibu sana nchi hii , hastahili hata kukumbukwa.
Akili kisodakichwa cha kuku baba yako. Aliyeziweka ni nani?
Released on bond, aliingia kwa backdoor, akakaa kwa dakika zisizofika 20 akishughulikia taratibu za bond akatokea front door akasepa.Trump leo yupo jela