Ondoa woga unapotaka kufanya kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ondoa woga unapotaka kufanya kitu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ladyfurahia, Oct 10, 2012.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Hebu niwadokezee kitu marafiki zangu wa humu jf, mwaka ndo unakatika na kama umekwisha angalia nyuma utaona kuwa bado hujakamilishalile ulilokusudia kulifanya kwa mwaka huu, na ndo tumebakiza miezi miwili. Kwa mtazamo wako Je unaona ndani ya miezi 2 unawezakukamilisha au unaona hutaweza kukamilisha. Usiwe na mtazamo hasi ambao unaleta shaka na hofu ya kutokuthubutu kutenda japokuwa waonahaina haja ya kufanya lile jambo/kitu ndani ya hiyo miezi. Watu wengi wamejawa na hofu/woga wa kutokuthubutu kufanya kitu. Ushauri wangu kwenu hebu ondoa woga ndani yako unapotaka kufanya kitu. Usiangalie mazingira yaliyokuzunguka yanasema nini juu yako, wewe kaza buti angalia mbele na fanya ilile ulilokusudia kwa wakati huo. Basi napenda kuwaambia nimetoa kitabu changu cha Woga na ningefurahi kamamtakihitaji msisite kuingia pm. Nawatakia baraka na mafanikio tele katika shughuli zenu. "FUMBUENI MACHO YENU MUONE KWANI MAFANIKIOMNAYO KATIKA MIKONO YENU ONDOENI WOGA WA KUTOKUTHUBUTU".
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu uoga wetu umekuwa ndo chanzo cha umaskini wetu tulio wengi.
   
 3. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kidogo kama inaingia akilini lakini swali mwaka huu umepata nini ukashindwa kufanyakutu?ukijicheki utakuta hakuna cha maana ulichofanya hivyo shida siyo uoga bali msunguko hamna tena
   
Loading...