Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Once again CDM will show the nation and the world that they pass this test.Si test ya kwanza ngumu kwa vyama kama NCCR,TLP,CUF ila CDm huwa wanapita kama hakuna kitu na more rewards zinawafuata.
Matukio yote ya yanayopangwa na CCM kw aubay ahuwa yanasemwa kabla na viongozi wa CCM wakidhani wataonekana watabairi,huku wakiwa uchi kabos n akuonekana kuwa kuwa wao ndipo wanapanga halafu wana attribute to prediction.Wassira na wengine.NIliowawekea thread kuomba ushauri nimshitaki kwa wazee wa Kikurya wamchape fimbo nyingi bahati mbaya aliyekuwa mod aliona kuwa si njema kw ahisia zake.Huyu mzee na nape wamekuwa wakito amatamshi ya kijing na hatari wkaidhani kuw ani wajanja halafu mwishowe ni usababihs mauaji huku CDM wakiw macho mapema.n akuendelea na kazi zao.
This time CCM wameingi choo cha kike, vijana waliotumwa hawana nguvu wala hawakujengwa kuwa wapuuzi kama wa CCM, wakosa adabu kam wa CCM, walijengwa kuwa viongozi imara kama JJ myika, wao wakachuua route ngumu ya kuw wajinga,bila kujua hawakuw ana hio nguvu, walitakiwa jengewa nguvu na kupandishwa draja wakiwa hata umri mdogo hivyo hivyo na kuchuku amajukumu kama JJ Mnyika(nilipenda awe roll model wa Zitto).
test imechavuja na kuharibika prematurely.Kbla hata dr. Slaa hajasimama na kutolea ufafanuzi,kabla hata Mbowe hajasimama na kutoa neno lenye mamlaka.Zitto kw aujinga huu kachemsha big time.
Kam ni urais mwenye akili angesubiri CDM inchukue nchi ndipo adai kugombea,kwani sasa si rahisi hivyo kwa vile itakuw ani kukiongeze chama upinzani na mzigo.Sasa hivi chama kilipaswa kwenda na best and optimu msettings tuu.