Once a stranger...

Hii ni muafaka kwa kidume chochote....
Sound so real,
Hakika huyo "friend" ananafafasi kubwa ya kukupa furaha,
Kama ikatokea mkazaa penzi,,,!
WIth that, hauhitaji limbwata.... kijana wa kiume ni utamshika tu..
Mistari ya ukweli, najaribu kujenga ndoto kwamba mtoto mmoja ananiambia hivyo....
Oooh mnyakyusa mimi ntatoa kila kitu kama Mwanakijiji na stori yake ya "mtoto wa tanga" na kisa cha penzi lililokataliwa.

Hahahaha!!
JG umenifurahisha sana...kumbe na hii ni aina ya limbwata ehhh?!

Basi itabidi niliendeleze maana halicost chochote!!Sema sikujua kama wanaume mnapenda hii mambo!!Nlidhani ni sisi wadada tu ndo tunaopenda kuimbiwa na kuandikiwa mashairi!!!
 
Lizzy... you just dont know how happy i feel for you... i could read the lines in this thread and for sure they are are full of light, life and love

i can even imagine how your skin has improved... they all go together, love and skin quality!! ... just a tip

Owwhh!!Asante tena bro...

Alafu hapo kwenye “skin quality “ umenigusa. Kuna kitu nimenotice siku za karibuni ila sikujua kwamba inaweza kua inahusiana na furaha ya mtu!!!Strange......
 
Hahaahahha....Masaki unajaribu utabiriiii nini!?Kua karibu tu na mtu kunatosha kumzoea kila kitu chake bila kua kama ulivyowaza!!!Hata hivyo inabidi nikubali kwamba sio rafiki yangu wa KAWAIDA bali ni rafiki yangu MZURI!!!

Nimekuelewa!
 
Indeed you are truly blessed,
and he surly is blessed by having you...
Hopefully he knows and appreciates..
 
Si useme bana tuko wawili tuu hapa wakiamka kesho ngoma inakuwa ishatoka watabaki tuu kupiga kelele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom