Ona wenye nguvu zao....!

Ona wenye nguvu zao....!

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
1525536_824456514235435_1384448087_n.png
 
shati ya bluu😱ya huko mbona hamnyanyui?

shat ya kijani;mi niliwaambia hili halinyanyuki....

shati nyeusi:acheni kelele huk nyie ndo hamjanyanyua.

asiye na shati:wote wajinga yaani m nimevua mpaka shati then bado mnaongea tu...
 
Ugali mkavu kimo cha mbuzi, mboga kitu cha Arusha! unategemea nini mkuu?
 
...wanastua, ngoma haina stata, teh teh...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom