Ona Watanzania wanavyojiachia huku UK!

Ona Watanzania wanavyojiachia huku UK!

mbona kawaida sana, watoto wadogo wanakula ujana tu
 
Wacha wale ujana kwani hawana kazi za kufanya ...@wazee jasho zinawatoka kwa kutafuta ada ila hakuna shida kwani wakikuwa watajua maisha ni nn..!
 
Wasije wakasaula tu kama wale wa CCM mbagala!
 
Watakuwa vilaza wa London school of Commerce tu hao.
 
mwenye jeans ya blue yupo vizuri kwakudance kavaa suruali yake saafi sema hizo nywele sasa ndio hataree
 
Wamekosa kazi ya kufanya

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom