ona utafiti uliofanywa huko marekani

ona utafiti uliofanywa huko marekani

Inawezekana hayo ni majibu ya tafiti za huko kwa wenzetu. Kwa hapa Tz nadhani watu wako single kwa sababu tofauti ikiwemo kutokujiamini kama wataweza kuimudu ndoa na changamoto zake, kukatishwa tamaa na malalamiko ya baadhi ya wanandoa juu ya maisha yao, baadhi ya vijana kukwepa majukumu ya familia, kuendelea kuporomoka kwa maadili ndani ya jamii, usaliti, kutokumpata mpenzi anayekidhi vigezo-wengine huweka vigezo vingi mno, kupanda kwa gharama za maisha nk

Kama uwezekano upo, ni vyema kuondoka na hali ya usingle ili kujenga familia hasa watoto kuwa na matunzo ya pande zote mbili huku wakifundishwa maana halisi ya upendo, uvumilivu na kusaidiana.
 
hilo nalo limekua janga la dunia yote,kazi kwenu wanaume wa kweli.................................:mwaaah::mwaaah:
 
Inawezekana hayo ni majibu ya tafiti za huko kwa wenzetu. Kwa hapa Tz nadhani watu wako single kwa sababu tofauti ikiwemo kutokujiamini kama wataweza kuimudu ndoa na changamoto zake, kukatishwa tamaa na malalamiko ya baadhi ya wanandoa juu ya maisha yao, baadhi ya vijana kukwepa majukumu ya familia, kuendelea kuporomoka kwa maadili ndani ya jamii, usaliti, kutokumpata mpenzi anayekidhi vigezo-wengine huweka vigezo vingi mno, kupanda kwa gharama za maisha nk

Kama uwezekano upo, ni vyema kuondoka na hali ya usingle ili kujenga familia hasa watoto kuwa na matunzo ya pande zote mbili huku wakifundishwa maana halisi ya upendo, uvumilivu na kusaidiana.

MKUU hata hapa kwetu si kweli tafiti zako rudia. hakuna aneogopa kulea familia.
 
Back
Top Bottom